caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 97

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:97

وَقُل رَّبِّ أَعُوذُ بِكَ مِنْ هَمَزَٰتِ ٱلشَّيَٰطِينِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa sema: Mola wangu Mlezi! Ninajikinga kwako kutokana na wasiwasi wa mashetani.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa sema: Mola wangu Mlezi! Najikinga kwako na wasiwasi wa mashet'ani.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70