caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 96

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:96

ٱدْفَعْ بِٱلَّتِى هِىَ أَحْسَنُ ٱلسَّيِّئَةَ نَحْنُ أَعْلَمُ بِمَا يَصِفُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKinga maovu kwa kutenda yaliyo mema zaidi. Sisi tunayajua vyema wayasemayo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKinga maovu kwa kutenda yaliyo mema zaidi. Sisi tunajua wayasemayo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70