caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 73

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:73

وَإِنَّكَ لَتَدْعُوهُمْ إِلَىٰ صِرَٰطٍ مُّسْتَقِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa yakini, wewe unawaita kwenye njia iliyonyooka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwa yakini wewe unawaita kwenye Njia Iliyo Nyooka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70