وَإِنَّ ٱلَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِٱلْـَٔاخِرَةِ عَنِ ٱلصِّرَٰطِ لَنَٰكِبُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika wale wasioiamini Akhera wanajitenga mbali na njia hiyo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika wale wasio iamini Akhera wanajitenga na Njia hiyo.