caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 65

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:65

لَا تَجْـَٔرُوا۟ ٱلْيَوْمَ إِنَّكُم مِّنَّا لَا تُنصَرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMsiyayatike leo! Hakika nyinyi hamtanusurika kutokana nasi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMsiyayatike leo! Hakika nyinyi hamtanusurika nasi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70