قَٰلَ كَمْ لَبِثْتُمْ فِى ٱلْأَرْضِ عَدَدَ سِنِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAtasema: Mlikaa muda gani katika ardhi kwa hisabu ya miaka?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAtasema: Mlikaa muda gani katika ardhi kwa hisabu ya miaka?.