caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 108

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:108

قَالَ ٱخْسَـُٔوا۟ فِيهَا وَلَا تُكَلِّمُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAtasema Mwenyezi Mungu: Tokomeeni humo, wala msinisemeshe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAtasema Mwenyezi Mungu: Tokomeeni humo, wala msinisemeze.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70