caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 107

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:107

رَبَّنَآ أَخْرِجْنَا مِنْهَا فَإِنْ عُدْنَا فَإِنَّا ظَٰلِمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMola wetu Mlezi! Tutoe humu Motoni. Na tukirudia tena (ya zamani), basi kweli sisi ni wenye kudhulumu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMola wetu Mlezi! Tutoe humu Motoni. Na tufanyapo tena basi kweli sisi ni wenye kudhulumu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70