caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 106

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:106

قَالُوا۟ رَبَّنَا غَلَبَتْ عَلَيْنَا شِقْوَتُنَا وَكُنَّا قَوْمًا ضَآلِّينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatasema: Mola wetu Mlezi! Tulizidiwa na uovu wetu na tukawa watu tuliopotea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMola wetu Mlezi! Tulizidiwa na uovu wetu na tukawa watu tulio potea.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70