caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 105

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:105

أَلَمْ تَكُنْ ءَايَٰتِى تُتْلَىٰ عَلَيْكُمْ فَكُنتُم بِهَا تُكَذِّبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, hazikuwa Aya zangu mkisomewa, na nyinyi mkizikanusha?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Hazikuwa Aya zangu mkisomewa, na nyinyi mkizikanusha?.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70