وَمِنَ ٱلنَّاسِ مَن يَعْبُدُ ٱللَّهَ عَلَىٰ حَرْفٍ فَإِنْ أَصَابَهُۥ خَيْرٌ ٱطْمَأَنَّ بِهِۦ وَإِنْ أَصَابَتْهُ فِتْنَةٌ ٱنقَلَبَ عَلَىٰ وَجْهِهِۦ خَسِرَ ٱلدُّنْيَا وَٱلْـَٔاخِرَةَ ذَٰلِكَ هُوَ ٱلْخُسْرَانُ ٱلْمُبِينُ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa katika watu wapo wanaomuabudu Mwenyezi Mungu kwa ukingoni. Ikimfikia heri, hutulia kwayo. Na ukimfikia msukosuko, hugeuza uso wake. Amehasiri dunia na Akhera. Hiyo ndiyo hasara iliyo wazi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa katika watu wapo wanao muabudu Mwenyezi Mungu kwa ukingoni. Ikimfikia kheri hutulia kwayo, na ukimfikia msukosuko hugeuza uso wake. Amekhasiri dunia na Akhera; hiyo ndiyo khasara iliyo wazi.