caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hajj, Aya 12

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 103 · 22:12

يَدْعُوا۟ مِن دُونِ ٱللَّهِ مَا لَا يَضُرُّهُۥ وَمَا لَا يَنفَعُهُۥ ذَٰلِكَ هُوَ ٱلضَّلَٰلُ ٱلْبَعِيدُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBadala ya Mwenyezi Mungu, yeye huomba kisichomdhuru wala kumnufaisha. Huko ndiko kupotea kwa mbali!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBadala ya Mwenyezi Mungu, yeye huomba kisicho mdhuru wala kumnufaisha. Huko ndiko kupotolea mbali!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70