ذَٰلِكَ بِمَا قَدَّمَتْ يَدَاكَ وَأَنَّ ٱللَّهَ لَيْسَ بِظَلَّٰمٍ لِّلْعَبِيدِ
Swahili Translation - Rowad Translation Center(Ataambiwa): Hayo ni kwa sababu ya yale iliyoyatanguliza mikono yako. Na hakika Mwenyezi Mungu si dhalimu kwa waja.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Ataambiwa): Hayo ni kwa sababu ya iliyo tanguliza mikono yako. Na hakika Mwenyezi Mungu si dhaalimu kwa waja.