وَتَقَطَّعُوٓا۟ أَمْرَهُم بَيْنَهُمْ كُلٌّ إِلَيْنَا رَٰجِعُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNao wakalikata jambo lao hili mapande mapande baina yao. Wote watarudi kwetu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNao wakalikata jambo lao hili mapande mapande baina yao. Wote watarudi kwetu.