caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 72

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:72

وَوَهَبْنَا لَهُۥٓ إِسْحَٰقَ وَيَعْقُوبَ نَافِلَةً وَكُلًّا جَعَلْنَا صَٰلِحِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNaye tukampa Is-haq, na Yaaqub kuwa ni ziada. Na wote tukawafanya kuwa watu wema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNaye tukampa Is-haq, na Yaaqub kuwa ni ziada. Na wote tukawajaalia wawe watu wema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70