caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 71

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:71

وَنَجَّيْنَٰهُ وَلُوطًا إِلَى ٱلْأَرْضِ ٱلَّتِى بَٰرَكْنَا فِيهَا لِلْعَٰلَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukamwokoa yeye na Luuti, tukawapeleka kwenye nchi tuliyoibariki kwa ajili ya walimwengu wote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukamwokoa yeye na Luut'i tukawapeleka kwenye nchi tulio ibariki kwa ajili ya walimwengu wote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70