caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 70

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:70

وَأَرَادُوا۟ بِهِۦ كَيْدًا فَجَعَلْنَٰهُمُ ٱلْأَخْسَرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWao walimkusudia maovu, lakini Sisi tukawafanya wao ndio waliohasiri zaidi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWao walimkusudia maovu, lakini Sisi tukawafanya wao ndio walio khasiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70