caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:11

وَكَمْ قَصَمْنَا مِن قَرْيَةٍ كَانَتْ ظَالِمَةً وَأَنشَأْنَا بَعْدَهَا قَوْمًا ءَاخَرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ni mingapi katika miji iliyokuwa ikidhulumu tumeiteketeza, na tukawaanzisha baada yao kaumu wengine.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mingapi katika miji iliyo kuwa ikidhulumu tumeiteketeza, na tukawasimamisha baada yao watu wengine.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70