caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 10

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:10

لَقَدْ أَنزَلْنَآ إِلَيْكُمْ كِتَٰبًا فِيهِ ذِكْرُكُمْ أَفَلَا تَعْقِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika tumewateremshia Kitabu ambacho ndani yake kuna ukumbusho wenu. Je, hamtumii akili?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika tumekuteremshieni Kitabu ambacho ndani yake yamo makumbusho yenu. Je! Hamzingatii?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70