caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 12

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:12

فَلَمَّآ أَحَسُّوا۟ بَأْسَنَآ إِذَا هُم مِّنْهَا يَرْكُضُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi walipoihisi adhabu yetu, tazama, wakaanza kuikimbia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi walipo ihisi adhabu yetu, mara wakaanza kukimbia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70