caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 60

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:60

فَتَوَلَّىٰ فِرْعَوْنُ فَجَمَعَ كَيْدَهُۥ ثُمَّ أَتَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi Firauni akageuka akarudi, na akatengeneza hila yake, kisha akaja.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi Firauni akarudi na akatengeneza hila yake, kisha akaja.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70