قَالَ مَوْعِدُكُمْ يَوْمُ ٱلزِّينَةِ وَأَن يُحْشَرَ ٱلنَّاسُ ضُحًى
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Miadi yenu ni siku ya Sikukuu ya mapambo; na watu wakusanywe kabla ya adhuhuri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Miadi yenu ni siku ya Sikukuu; na watu wakusanywe kabla ya adhuhuri.