caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 102

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:102

يَوْمَ يُنفَخُ فِى ٱلصُّورِ وَنَحْشُرُ ٱلْمُجْرِمِينَ يَوْمَئِذٍ زُرْقًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku litakapopulizwa barugumu, na tukawakusanya wahalifu Siku hiyo, hali macho yao ni ya buluu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSiku litakapo pulizwa barugumu, na tukawakusanya wakhalifu Siku hiyo, hali macho yao ya kibuluu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70