يَتَخَٰفَتُونَ بَيْنَهُمْ إِن لَّبِثْتُمْ إِلَّا عَشْرًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatanong'onezana wao kwa wao: Hamkukaa ila siku kumi tu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWatanong'onezana wao kwa wao: Hamkukaa ila siku kumi tu.