caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 179

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:179

وَلَكُمْ فِى ٱلْقِصَاصِ حَيَوٰةٌ يَٰٓأُو۟لِى ٱلْأَلْبَٰبِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMtakuwa na uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili mpate kuwa wacha Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70