caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 78

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:78

أَطَّلَعَ ٱلْغَيْبَ أَمِ ٱتَّخَذَ عِندَ ٱلرَّحْمَٰنِ عَهْدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani yeye amepata habari za ghaibu, au amechukua agano kwa Arrahmani (Mwingi wa rehema)?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwani yeye amepata khabari za ghaibu, au amechukua ahadi kwa Arrahmani Mwingi wa Rehema?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70