caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 16

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:16

وَٱذْكُرْ فِى ٱلْكِتَٰبِ مَرْيَمَ إِذِ ٱنتَبَذَتْ مِنْ أَهْلِهَا مَكَانًا شَرْقِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipojitenga mbali na jamaa zake mahali upande wa mashariki.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70