وَسَلَٰمٌ عَلَيْهِ يَوْمَ وُلِدَ وَيَوْمَ يَمُوتُ وَيَوْمَ يُبْعَثُ حَيًّا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa salama iwe juu yake siku ya kuzaliwa, na siku ya kufa, na siku ya kufufuliwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa amani iwe juu yake siku ya kuzaliwa, na siku ya kufa, na siku ya kufufuliwa.