قَالَ لَهُۥ مُوسَىٰ هَلْ أَتَّبِعُكَ عَلَىٰٓ أَن تُعَلِّمَنِ مِمَّا عُلِّمْتَ رُشْدًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterMusa akamwambia: Nikufuate ili unifunze katika ule uongofu uliofunzwa wewe?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMusa akamwambia: Nikufuate ili unifunze katika ule uwongofu ulio funzwa wewe?