وَلَا تَتَّخِذُوٓا۟ أَيْمَٰنَكُمْ دَخَلًۢا بَيْنَكُمْ فَتَزِلَّ قَدَمٌۢ بَعْدَ ثُبُوتِهَا وَتَذُوقُوا۟ ٱلسُّوٓءَ بِمَا صَدَدتُّمْ عَن سَبِيلِ ٱللَّهِ وَلَكُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala msifanye viapo vyenu kuwa njia ya kudanganyana baina yenu, mguu ukajateleza baada ya kuwa thabiti, na mkaonja mabaya kwa sababu ya kule kuzuilia kwenu njia ya Mwenyezi Mungu, na mkapata adhabu kubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala msifanye viapo vyenu ni njia ya kudanganyana baina yenu.Usije mguu ukateleza badala ya kuthibiti, na mkaonja maovu kwa sababu ya kule kuzuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, na mkapata adhabu kubwa.