caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 82

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:82

فَإِن تَوَلَّوْا۟ فَإِنَّمَا عَلَيْكَ ٱلْبَلَٰغُ ٱلْمُبِينُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hivyo, wakikengeuka, basi lililo juu yako wewe ni kufikisha ujumbe wazi wazi tu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wakikengeuka lilio juu yako wewe ni kufikisha ujumbe waziwazi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70