caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 83

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:83

يَعْرِفُونَ نِعْمَتَ ٱللَّهِ ثُمَّ يُنكِرُونَهَا وَأَكْثَرُهُمُ ٱلْكَٰفِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWanazijua neema za Mwenyezi Mungu, kisha wanazikanusha, na wengi wao ni makafiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWanazijua neema za Mwenyezi Mungu, kisha wanazikanusha; na wengi wao ni makafiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70