caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 4

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:4

خَلَقَ ٱلْإِنسَٰنَ مِن نُّطْفَةٍ فَإِذَا هُوَ خَصِيمٌ مُّبِينٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmemuumba mtu kwa tone la manii. Na tazama, akawa mshindani aliye dhahiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmemuumba mtu kwa tone la manii. Naye mara amekuwa mshindani dhaahiri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70