caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 5

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:5

وَٱلْأَنْعَٰمَ خَلَقَهَا لَكُمْ فِيهَا دِفْءٌ وَمَنَٰفِعُ وَمِنْهَا تَأْكُلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa aliwaumba wanyama. Katika hao mna vifaa vya kutia joto, na manufaa mengineyo, na baadhi yao mnawala.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa nyama hoa amekuumbieni. Katika hao mna vifaa vya kutia joto,na manufaa mengineyo, na baadhi yao mnawala.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70