خَلَقَ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ بِٱلْحَقِّ تَعَٰلَىٰ عَمَّا يُشْرِكُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmeziumba mbingu na ardhi kwa Haki. Ametukuka na hayo wanayomshirikisha nayo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmeziumba mbingu na ardhi kwa Haki. Ametukuka na wanayo shirikisha.