caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 9

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:9

إِنَّا نَحْنُ نَزَّلْنَا ٱلذِّكْرَ وَإِنَّا لَهُۥ لَحَٰفِظُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi ndio tuliouteremsha Ukumbusho huu, na hakika Sisi ndio tutakaoulinda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Sisi ndio tulio teremsha Ukumbusho huu, na hakika Sisi ndio tutao ulinda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70