caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 8

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:8

مَا نُنَزِّلُ ٱلْمَلَٰٓئِكَةَ إِلَّا بِٱلْحَقِّ وَمَا كَانُوٓا۟ إِذًا مُّنظَرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSisi hatuwateremshi Malaika isipokuwa kwa sababu ya haki, na hapo hawatapewa muhula.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSisi hatuwateremshi Malaika ila kwa sababu ya haki, na hapo hawatapewa muhula.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70