caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 10

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:10

وَلَقَدْ أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ فِى شِيَعِ ٱلْأَوَّلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika tulikwishatuma Mitume kabla yako kwa mataifa ya mwanzo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika tulikwisha watumia Mitume mataifa ya mwanzo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70