caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 57

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:57

قَالَ فَمَا خَطْبُكُمْ أَيُّهَا ٱلْمُرْسَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Hebu mna jambo gani, enyi wajumbe?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Hebu nini amri yenu, enyi wajumbe?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70