caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 46

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:46

ٱدْخُلُوهَا بِسَلَٰمٍ ءَامِنِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Wataambiwa:) Ingieni humo kwa salama na amani.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Wataambiwa:) Ingieni kwa salama na amani.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70