إِنَّ ٱلْمُتَّقِينَ فِى جَنَّٰتٍ وَعُيُونٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika wacha Mungu watakuwa katika Mabustani na chemchemi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem.
إِنَّ ٱلْمُتَّقِينَ فِى جَنَّٰتٍ وَعُيُونٍ