caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 34

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:34

قَالَ فَٱخْرُجْ مِنْهَا فَإِنَّكَ رَجِيمٌ

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe umefukuziliwa mbali!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70