caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Ra'd, Aya 39

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 96 · 13:39

يَمْحُوا۟ ٱللَّهُ مَا يَشَآءُ وَيُثْبِتُ وَعِندَهُۥٓ أُمُّ ٱلْكِتَٰبِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenyezi Mungu hufuta na huthibitisha ayatakayo. Na kiko kwake Kitabu asili.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu hufuta na huthibitisha ayatakayo. Na asili ya hukumu zote iko kwake.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70