وَكَأَيِّن مِّنْ ءَايَةٍ فِى ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ يَمُرُّونَ عَلَيْهَا وَهُمْ عَنْهَا مُعْرِضُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ni ishara ngapi katika mbingu na ardhi wanazozipitia, lakini wao wanazipuuza.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ishara ngapi katika mbingu na ardhi wanazo zipitia, na hali ya kuwa wanazipuuza.