caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 104

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:104

وَمَا تَسْـَٔلُهُمْ عَلَيْهِ مِنْ أَجْرٍ إِنْ هُوَ إِلَّا ذِكْرٌ لِّلْعَٰلَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala wewe huwaombi ujira kwa haya. Hayakuwa haya isipokuwa ni ukumbusho kwa walimwengu wote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala wewe huwaombi ujira kwa haya. Hayakuwa haya ila ni mawaidha kwa walimwengu wote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70