caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 106

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:106

وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُم بِٱللَّهِ إِلَّا وَهُم مُّشْرِكُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wengi wao hawamuamini Mwenyezi Mungu pasina kuwa washirikina.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wengi katika wao hawamuamini Mwenyezi Mungu pasina kuwa ni washirikina.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70