caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Burooj, Aya 7

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 27 · 85:7

وَهُمْ عَلَىٰ مَا يَفْعَلُونَ بِٱلْمُؤْمِنِينَ شُهُودٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wao ni mashahidi wa yale waliyokuwa wakiwafanyia Waumini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wao ni mashahidi wa yale waliyo kuwa wakiwafanyia Waumini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70