caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Inshiqaaq, Aya 6

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 83 · 84:6

يَٰٓأَيُّهَا ٱلْإِنسَٰنُ إِنَّكَ كَادِحٌ إِلَىٰ رَبِّكَ كَدْحًا فَمُلَٰقِيهِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEwe mtu! Hakika wewe unafanya matendo kwa juhudi kumwendea Mola wako Mlezi, basi utamkuta.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEwe mtu! Hakika wewe unajikusuru kwa juhudi kumwendea Mola wako Mlezi, basi utamkuta.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70