caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Inshiqaaq, Aya 5

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 83 · 84:5

وَأَذِنَتْ لِرَبِّهَا وَحُقَّتْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ikamsikiliza Mola wake Mlezi, na ikapasiwa kumsikiliza.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ikamsikiliza Mola wake Mlezi, na ikapasiwa kumsikiliza!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70