caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Inshiqaaq, Aya 7

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 83 · 84:7

فَأَمَّا مَنْ أُوتِىَ كِتَٰبَهُۥ بِيَمِينِهِۦ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAma atakayepewa daftari lake kwa mkono wa kulia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAma atakaye pewa daftari lake kwa mkono wa kulia!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70